Ujenzi wa Barabara kutoka mkoani Katavi wilayani Mpanda-Inyonga-sikonge-Tabora kwa kiwango cha lami washika kasi KM 364 zaidi ya Bilioni 300 kutumika. Hongera Dkt. Magufuli Rais kwa kukamilika Barabara hii na kutaifungua Katavi na kuendelea kuwa kinara kwa kilimo.
