
Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa. Rais Magufuli ataonana na Rais Kenyatta akiwa Mkoani Geita ataonana na Rais Uhuru siku ya tarehe 05 Julai, 2019 kwa ziara binafsi ya siku mbili kwa mwaliko wa mwenyeji wake Rais wa Tanzania.
