Jinamizi la Lissu bado linamtesa Zitto Kabwe - Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

"Muda Unaongea"

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

24 Feb 2019

Jinamizi la Lissu bado linamtesa Zitto Kabwe


ZITTO Ni moja ya wanasiasa wenye ubifsi mkubwa sana, mwenye wivu wa kiwango cha nyegere, MTU huyu hutumia mbinu zozote hata za kutoa kafara ili tu analolihitaji lifanikiwe.
Image may contain: 2 people, people sitting and indoor
WIVU wa zitto kutamani kuiona act inakua kama chadema au nccr umemgharimu vitu Vingi sana, achilia mbali kukimbiwa na watu wanaojitambua ndani ya chama chake lakini pia tumeshuhudia zitto huyu Mara kadhaa akisambaza jumbe mbalimbali kupitia kwa wafuasi wake kuwa anataka kutekwa au anatishiwa maisha na askari/usalama.

Lakini tunakumbuka zitto alipokua chadema kipindi cha harakati kweli na fujo nyingi hakuwahi kutuambiwa anatishiwa chochote, lakini Leo amekwisha kabisa hakuna hata anaemzungumzia eti anasema anatishiwa maisha.

Hakuna kinachomtesa zitto kama habari za Lissu. Kila mtu anamshangaa zitto, kwakua lissu amekua akiishambulia zaidi serikali na rais JPM lakini cha ajabu anaeumia Ni zitto kabwe... Hapa ndipo tunajiuliza kwann zitto anaeteseka??

Matukio kadhaa yamefanywa na zitto kama revenge kwa mapigo ya lissu... Mfano Ni kuchoma kijumba chake kidogo moto kupitia kwa dingi mmoja kulakulala bw. Boaz huko kigoma, lakini Bahati mbaya hakupata airtime ya kutosha.

Pia, akajaribu sana kuitukana na kusema serikali ya JPM kwa kiwango anachohisi ataitwa mchochezi lakini wapi hakuna anaemzungumzia, kitu ambacho kinamkera sana zitto kwamaana anashangaaa mtu kama sugu au salum mwalimu akikohoa tu anaitwa central kwa kesi za uchochezi. Kwann isiwe zitto anaejiamini kuwa yeye Ni zaidi yao.

Mnakumbuka kuna kipindi kila siku alikua akifanya press conferences za kumtukana rais na kuidhalilisha serikali ya awamu ya 5 lakini hakuwahi kuitwa mahali popote na chombo chochote cha usalama kuhojiwa kwa upuuzi wake alokua anauzungumza, alikuja kuacha mwenyewe baada ya kukosa kabisa wanahabari katika press zake, kilichomuua zaidi Ni ile press za #muna_love alipata mic zaidi ya 10 wakati yeye alikua na mic 2 tu tena za blogs.

Hakuishia hapo, zitto baada ya kuona hashitakiwi mahakamani kama ilivokua kwa lissu aliamua kuanza kufungua kesi yeye mwenyewe mahakamani, kesi za kipuuzi sana hiyo yote Ni ili kupata mileage kama aliyoipata lissu...lakini zimebuma na hakuna kiki.

Jinamizi LA lissu limezidi kumuandama zitto kabwe, baada ya mpango wake zitto wa kujiteka na kujishambulia kwa risasi kuumbuliwa na ciprian musiba hivi karibuni sasa zitto nae ameamua kukopi na kupesti hadharani kwa kuanza kufanya ziara nje ya nchi na kuanza kuichongea Tz ili tu apate kuzungumzwa kama ilivokua kwa lissu😂😂

Ni matukio mengi tu ambayo zitto anayafanya ili kupata kuzungumzwa zaidi (airtime) lakini haitokei hivo. Amesikika Mara kwa Mara akizungumza mbele ya wafuasi wake namna lissu anavyoua ndoto zake za kugombea urais.

#Swali: KWANINI UPUUZI ANAOUFANYA LISSU HUMUUMIZA SANA ZITTO KABWE KULIKO MTU MWINGINE YEYOTE??

Post Bottom Ad