Zijue Faida 8 Za Kula Pilipili Kila Mara - Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

"Muda Unaongea"

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

19 Jul 2019

Zijue Faida 8 Za Kula Pilipili Kila Mara


Asilimia kubwa ya watu hawafahamu faida kubwa iliyonayo pilipili katika mwili wa binadamu baada ya kuitumia, ila kwa kawaida mwili unao uhitajio mkubwa sana wa kupata pili pili na inatibu na kufanya kazi kubwa sana katika mwili wa binadamu.


Pilipili inayoongelewa ni ile ya kula kwa kuchanganya na chakula unachokula na pia kama ukichanganya na nyama nadhani unafahamu utamu wake kwa jinsi unavyokuwa.

Zitazame faida 8 za kula pilipili hapo chini.
  • Pilipili inasaidia sana kusawazisha sukari kwenye damu.
  • Ulaji wa pilipili kunaweza kunawasaidia sana watu wanene (overweight) au wanao ugua ugonjwa wa kisukari.
  • Utafiti huo pia umeonyesha kwamba kawaida ya kula Pilipili kunaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti na kusawazisha insulini kwa 60%. baada ya kula chakula.
  • Pilipili husaidia kupunguza maumivu na uvimbe kwenye tezi na vilevile huwasaidia wagonjwa wa rheumatoid na arthritis kupata nafuu. Vile vile husaidia kuondoa mkusanyiko wa damu sehemu moja ya mwili.
  • Pilipili usaidia kufungua kwa haraka na kwa ufanisi pua zilizoziba kwa mafua, kuruhusu kupumua kwa urahisi zaidi!
  • Pilipili pia husaidia kupunguza upatikanaji wa saratani ya kwenye tumbo (Stomach Cancer)
  • Pilipili usaidia kuongezeka kwa kiwango cha metabolic, ambayo husaidia kuchoma mafuta, ulaji wa pilipili kunaweza kuinua kiwango na metabolic yako hadi 23% ndani ya masaa 3.
  • Kula pilipili usaidia kupunguza cholesterol, na kupunguza kiasi cha fibrin katika damu.

Post Bottom Ad