Maneno hayo pia amewahi kuyatamka katika ziara ya Rais Magufuli aliyoifanya mkoani kigoma alipopewa nafasi ya kuwahutubia wananchi wa Kigoma kama mbunge wao.Nilisema tangu mwanzo sitashiriki siasa za kupinga maendeleo yanayofanywa na Serikali hii ya @MagufuliJP na sasa nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa kuunga mkono kwani ni kwa maendeleo ya Watanzania wote. Kiongozi mbinafsi kwa vyovyote vile hawezi kuona haya yanayofanyika sasa.— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) June 27, 2019
Kupitia akaunti yake ya twitter mbunge ZZK ameonyesha kufurahishwa na kasi ya maendeleo ya Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na jemedari JPM. Aamua kuweka wazi hisia zake