Rihana(31) ndiye mwanamuziki wa kike tajiri zaidi duniani, akiwa na utajiri wa TZS trilioni 1.4($600m). Mbali na kuingiza fedha kupitia muziki, pia anamiliki sehemu ya kampuni ya bidhaa za urembo na mavazi, Fenty Beauty. Anafuatiwa na Madonna($570m)na Celine Dion($450m).
