Kampuni ya Apple yazidi kupanua wigo wa biashara, yainunua kampuni ya DRIVE.AI - Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

top+logo

"Muda Unaongea"

Home Top Ad

jiachie

Post Top Ad

27 Jun 2019

demo-image

Kampuni ya Apple yazidi kupanua wigo wa biashara, yainunua kampuni ya DRIVE.AI

jiachie
Kampuni ya Apple imeinunua Kampuni ya Drive.ai iliyokuwa ikiunda magari yanayojiendesha kwa kutumia teknolojia ya 'artificial intelligence,' ikiwa ni hatua ya Apple kuanza kuunda magari hayo. Drive.ai ilianzishwa 2015, makao yake yakiwa California.

drive-ai-008

Post Bottom Ad

Pages