TID ameshare picha kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuonyesha baadhi ya majeraha ambayo amepata baada ya kupigwa na mtu ‘mwenye hasira’ maeneo ya Kinondoni usiku wa jana. Mzee Kigogo amesema sasa yupo hosptl kwa ajili ya matibabu.