Na Zanura Mollel,LONGIDO
MKUU wa Wilaya ya Longido Mkoani Arusha Frank Mwaisumbe amezindua kampeni ya jiongeze tuwavushe salama wilayani hapa iliyobeba dhamira ya kuokoa maisha ya mama na mtoto kabla na baada ya kujifungua.
Kauli mbiu katika kampeni hiyo ni " kila mmoja wetu anao wajibu wa kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi,na vya watoto wachanga,maneno basi,sasa vitendo"
Picha: Na Zanura Mollel