Wananchi wailalamikia CHADEMA matumizi ya ruzuku zinazotolewa - Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

"Muda Unaongea"

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

20 Jun 2019

Wananchi wailalamikia CHADEMA matumizi ya ruzuku zinazotolewa

Pichani ni Nyumba ya Mtu na ka-Duka kake ka Spea za Baiskeli huko Kibiti .. Pakiungua Hapa Utasikia Chadema '' Tumechomewa Ofisi huko Kibiti''
Kifupi Chadema hawana Ofisi, hakuna Mahali popote Ruzuku imewahi kununua hata Tofali,.. Kazi ya Chadema ni Moja tu, ukiwa Kada na una Kigenge chako unauza Kamongo, Nyanya na Binzari wanakupa Muhuri na Bendera, na kama ni Fremu ikifika wakati Wa Kodi hiyo ni issue ya Wewe na Kamongo wako!.. Ndio zinaitwa Harakati.
Pale Ikwiriri-Rufiji kuna Ghorofa Moja Jeupe barabarani kwa Mbele limendikwa '' Ofisi ya Chadema Ikwiriri - lakini Ukiingia Ndani ni Vyumba vya kupanga na Ukipanda kule juu Ghorofani unapoweza kudhani labda kuna Chadema ni Sehemu ya kuanikia Nguo.
Mwisho nitoe pole tu kwa yule Jamaa aliyeunguliwa Banda lake la Chipsi kule Lindi pamoja na Pikipiki... ingawa tunajua Mihuri ya Chadema ipo Salama!.. "Nyumbulism ''.

Post Bottom Ad