Mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yanayoendelea nchini Libya yamesababisha kuharibiwa kwa ndege yao kubwa ya mizigo AN 124 yenye namba 5A-DKN ambayo imefanya kazi kwa zaidi ya miaka 25... Ndege hiyo kubwa imelipuliwa na Silaha kubwa ya kivita(RPG) ikiwa imepaki katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa jijini Tripoli...hapo chini ni Picha kadhaa zikionesha ndege hiyo nzuri kabla na baada ya kuharibiwa.

#Note: ile Demokrasia Tamu kutoka Ulaya na America iliyoletwa kwenye Kontena nchini Libya inaendelea kutamalaki.. R. I. P Simba wa Afrika Moummar Gaddafi.