Huyu wa juu aliondoka Tanzania kuelekea Ubeligiji Yalipo Makao Makuu ya Umoja wa Ulaya kwa Tiketi ya Matibabu....Huyu Mwingine wa Chini aliondoka kwenda Finland kwa Tiketi ya Hifadhi ya Ukimbizi wa Kisiasa (Political Asylum)..na wote wawili wakiwa huko nje wanakamilisha timu ya Watu wanne including Kahaba mmoja Marekani na Shoga mmoja U.K.. kazi yao ni Moja tu '' Kutukana Rais na kutunga Hadithi zinazoogofya Raia na Usalama wa NCHI kama gateway ya Chadema kujaribu kwenda Ikulu 2020''..
tunaposisitiza kila siku kwamba kwamba Haya Majitu yote Mawili ni Matapeli usipotuelewa wewe MUNGU anapotuelewa inatosha. Pio Pius 
