TLP yajitoa uchaguzi mkuu 2020.😂
"Chama chetu tumekubaliana kutosimamisha mgombea urais 2020 kwa kumuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na uchapakazi wake" - Mwenyekiti wa TLP, Agustine Lyatonga Mrema.
