"Mimi ni shabiki namba moja wa Yanga SC, nasikitika Sikuweza kufika ktk ''Kubwa Kuliko'' kwa Sababu zilizo nje ya Uwezo Wangu, Lakini nami Nachangia Yanga Shilingi Milioni Tano'' Irene Uwoya.