"Najua udhaifu wake, kitu pekee anachoweza kufanya ni kukimbia kimbia tu ulingoni, sio mzuri kwenye ndondi, sio Bondia mzuri"-Bondia Andy Ruiz akimzungumzia Bondia Anthony Joshua aliyemtwanga hivi karibuni.