Tundu Lissu ukitaka kuwa huru, usiogope sema ukweli, ukisema kweli utawaudhi wanadamu tena wapanua vidole pasina kupanua akili, ila utaifurahisha mbingu na nchi-usiogope - Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

top+logo

"Muda Unaongea"

Home Top Ad

jiachie

Post Top Ad

25 Jun 2019

demo-image

Tundu Lissu ukitaka kuwa huru, usiogope sema ukweli, ukisema kweli utawaudhi wanadamu tena wapanua vidole pasina kupanua akili, ila utaifurahisha mbingu na nchi-usiogope

jiachie
Na Joseph Yona.
Narudia Mimi *Joseph Yona* Nasema *TUNDU LISSU* hakupigwa risasi na serikali bali kuna mawili Moja yawezekana alipigwa risasi kimkakati na ACACIA ili kumvuruga Rais kwenye vita ya madini, kwani LISSU alikuwa wakili wao Hao Acacia na aliwadanganya sana na wamempa pesa nyingi kupitia *Mwanyika* tangu enzi na enzi na niliona... NB *Mwanyika* yuko Sero Todate.

La pili Chadema huwa kuandaa Mgombea urais wa awamu ya pili ya kupambana na mgombea wa CCM ambaye ni Rais huwa ni ngumu sana, So kuna muda hutumia sanaa kumuandaa hivyo yawezekana LISSU aliandaliwa mwezi wa Tisa kwa risasi ili akikaa miaka miwili nje akirudi mwezi wa tisa na uchaguzi wa serikali za mitaaa kimkakati.
Na aje kwa mbwembwe kuwa alipona kwa kudra apate huruma ya wananchi then after kuwapatia serikali nyingiiiii aandaliwe kuwa mgombea wa urais kwa huruma hiyohiyo, Tatizo Limebuma Mapema Mno.
65710640_311162076500286_8729427063825498112_n.jpg?_nc_cat=103&_nc_oc=AQlQQxIyi2gEqogJ_Psqq6ge3VFXf3ym6OpEJuqvoS62GZv8dFG3_q2jxF3kgtSq-mA&_nc_ht=scontent.fzag4-1
*KWA NINI KAMPENI YA KIU YA KUONA KOVU KAVU LA KIDONDA CHA LISSU 5K.L*
Watanzania wenzangu kuna mambo Ambayo yanatatiza sana ndo maana nasema hakuna Risasi au kama zipo ni za kimkakati wa *ACACIA NA CHADEMA* lakini pamoja na hayo lazima tuhoji?

Iweje zama hizi za Technolojia ya kila mtu simu Risasi zaidi ya Hamsini zilindime, Tena AREA D halafu mwisho tunamuona MBOWE na Dereva Wakiwa na Shirt mkononi?
Kweli mtu Apigwe risasi 16 ndani ya gari tusione picha ya Damu zimetapakaa na dereva hakupata mchubuko?
Kwa nini Dereva wamemficha mpaka leo na kwa nini Familia ya dereva imefichwa na mbaya dereva anasomeshwa vyuo vya kifahari?
Mwisho ndo maana nasema *LISSU* akirudi atuoneshe *KOVU KAVU LA KIDONDA CHAKE* tujiridhishe na vidonda vikavu vya risasi 16, Ok!!
65815415_311162109833616_5082910554331283456_n.jpg?_nc_cat=102&_nc_oc=AQlCjeYcDrwKFBKkXGAdwfeGOuKxHe9BiRCMyVQo6RgBGodmf90Aqt7-4E4Hkc6xUf8&_nc_ht=scontent.fzag4-1

Post Bottom Ad

Pages