Meli Mpya ya MV Mbeya II imegharimu bilioni 9.1, ina uwezo wa kupakia mizigo tani 200 na abiria 200, itafanya safari zake katika Ziwa Nyasa kuanzia Mwezi September itakapokuwa imekamilika....Huu utakuwa Mwisho wa Adha ya usafiri wa abiria hasa waishio wilaya Kyela na Ziwa Nyasa huko Mbeya.

Habari Hizi Huwezi kuzipata kwa Nyumbu"