Watetezi wa Redbrigade pichani dakika chache kabla ya kuangukia Komwe huko mahakama ya Afrika Mashariki jijini Arusha..Picha ya Nyumbu hawa kwa pamoja baada ya maamuzi ya Judge haikuweza kupatikana maana walisambaratika bila kuagana...Na Mwandishi Wetu Arusha.
