Marekani Haijawahi kuwa Taifa lenye interest na Amani ya Dunia na Mataifa Mengine - Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

top+logo

"Muda Unaongea"

Home Top Ad

jiachie

Post Top Ad

25 Jun 2019

demo-image

Marekani Haijawahi kuwa Taifa lenye interest na Amani ya Dunia na Mataifa Mengine

jiachie
Marekani Haijawahi kuwa Taifa lenye interest na Amani ya Dunia na Mataifa Mengine zaidi ya interest kwa Marekani yenyewe na Raia wake yenyewe ( '' America for Americans").
Utaambiwa kwamba Masaki Tanzania hakuna Amani lakini Denver Washington na Chicago Illinois ambako mpaka Wanafunzi wanatembea na Magobole Madarasani na kuuana ndio kwenye Amani iliyotamalaki mno!...Ni huko huko Marekani ambapo kijana Mwenye Asili ya Afrika '' Nipsey Hustle'' ameuawa kwa Risasi Mbele ya Duka Lake akiwa ktk Maandalizi ya Kutoa Documentary kuhusu Ugunduzi wa Dawa ya Ukimwi!..utasikia ni Bifu la Hip Hop.
1063309079
Wanaandaa watu kisaikolojia kwamba Kwamba Msasani kuna Hatari ya Shambulio Ugaidi ili Baadae watumwe watu watege mabomu walipue kisha Washington iseme ni IRAN huyo ndio kafadhili Magaidi Hayo!...
Mwisho wa siku mataifa haya Masikini ya Africa yakurupuke kijuhajuha kuunga mkono Marekani ktk Vita zake za Kiuchumi na Ugomvi wa Nyuklia na Mafuta.
Na hapo Wameshatanguliza '' Tahadhari ya Mashambulio'' ili baadae waombe kuleta CIA wake wakae pale Coco Beach kwa kisingizio cha kulinda Amani na kusaka Magaidi huku kwenye Vibegi wakiwa na Darubini za Kuchungulia Ikulu na Vipima Madini na Mafuta hata yaliyo Kilomita 100 Chini ya Ardhi... '' Akili Kichwani Mwako''.

Post Bottom Ad

Pages