ROSTAM: MISIMAMO DHABITI YA JPM KWENYE UWEKEZAJI IMETURUDISHA KUWEKEZA NCHINI
"Msimamo wako thabiti dhidi ya matendo ya zamani ya ujanja ujanja ktk biashara, uwekezaji na ukwepaji kodi ndivyo ambavyo leo hii vimetufanya baadhi yetu, tuliamua kuwekeza nje ya TZ kupata moyo na kuanza tena kurejesha mitaji na kuwekeza nchini" - Rostam Aziz