"My brother Jaguar matamshi yako hayakuleta shangwe kamwe, maana ya Kiongozi ni kuwaongoza Watu wako kwa njia mwafaka na sio vita au uchonganishi hasahasa kwa majirani zetu TZ na UG, uamuzi wako wa kuipa Serikali masaa ishirini na nne ulichemsha"-PREZZO @AMB_Prezzo.
