Dkt. Bashiru Allly~Kuna mchumi mmoja kila anapochangia kuhusu uchumi wa nchi anapotosha, sijui kwasababu ni mwanasiasa. Mimi najua ugonjwa anaougua, amewekwa mfukoni na mabeberu. Tangu amejifanya kiongozi kuliko viongozi wote wa vyama vya siasa anaanza kupotosha.

Nchi ambayo uchumi wake umekufa /haukui inaweza kununua ndege, tena kwa fedha taslimu? nchi ambayo uchumi wake haukui inajenga vituo vya afya kila kata nchi hii? tunasambaza umeme hadi vijijini kwenye nyumba za tembe, watoto wanasoma bure