CANADA: Dkt. Norman Barwin amefutiwa leseni baada ya kubainika alitumia mbegu zake kuwapa ujauzito wagonjwa 13. Uchunguzi wa madai hayo ya tangu mwaka 1970, ulianza kufanyika 2016.
Vitendo vya daktari huyo vilipelekea baadhi ya familia kufarakana sababu ya mimba isiyo na mwenyewe.
