Watu 7 wanashikiliwa na Polisi Morogoro kwa tuhuma za kukutwa na vipande 9 vya meno ya tembo (TZS 210m). Kwa mujibu wa RPC Wilbroad Mutafungwa vipande hivyo vimetokana na ujangili katika Hifadhi ya Selous. Idadi ya tembo wanaliouawa imepungua kufikia 23 mwaka 2018, kutoka 194.
Post Top Ad
27 Feb 2019

Home
Kitaifa
Uchumi
Utalii
Watu 7 wanashikiliwa kwa kukutwa na vipande 9 vya meno ya tembo vya shilingi milioni 210
Watu 7 wanashikiliwa kwa kukutwa na vipande 9 vya meno ya tembo vya shilingi milioni 210
Tags
# Kitaifa
# Uchumi
# Utalii
Share This
Newer Article
MKASI TV ya Salama Jabir with Ruge Mutahaba
Older Article
Alichokisema Jakaya Kikwete kufuatia kifo cha Ruge Mutahaba