Jinsi Zitto anavyojaribu kumtia mfukoni Maalim Seif, Sawasawa - Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

"Muda Unaongea"

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

12 Feb 2019

Jinsi Zitto anavyojaribu kumtia mfukoni Maalim Seif, Sawasawa

Licha ya kuepo kwa msamiati : Mtu akizeeka, basi akili zake hurudi kama za mtoto mdogo ( Mwanafunzi wa chekechea).
Sisi kama vijana wa CWU tiz, bila kujali itikadi na mikakati ya taasisi yetu tukufu, tuliona vema sana kutoa ushauri wa bure kwa mzee mzima SEIF HAMAD SHARIF aliewahi kua Katibu mkuu wa chama cha wananchi " CUF".
Hata kama mzee wetu umezeeka, jaribu kuzilinda fikra zako, epuka kuyumbishwa na kijana uyu mwenye tamaa na uroho wa Madaraka Zitto Zuberi KABWE a.k.a Prophet King Mawese.
Image result for SEIF HAMAD SHARIF zitto

Zitto ana kudanganya eti ujiunge wewe na wabunge wako wote wa CUF na kachama kake ka ACT Wazalendo.
Ni wazo zuri sana kwa Zitto na kachama kake maana katapata nguvu kubwa huku Pemba ( Zanzibar), wajumbe wa baraza la Mapinduzi na ikibidi mawaziri.
Sasa SEIF Hamad Sharif utakua nani, ukifanya nini na kwa mamlaka yapi?!!!?
Na uzee, ukongwe wako kwenye siasa za harakati, utaishia mufkoni mwa Zitto na kufanya akitakacho yeye.
Anachokitaka hapo Zitto ni pesa sitakazo tokana na rudhuku ili zimsaidie kulipa madeni yake, iyo moja.
Pili ni zile pesa Bilioni 40 mlizoahidiwa na mfalme wa Oman kwenye campaign zako za urais 2020. Ila hapa mtanywea maana ahadi iyo si yako Bali ya Chama cha wananchi CUF. Ukihama Chama na ahadi kwisha.

Hata hivyo mswaada wa sheria wa vyama vya siasa, hauto ruhusu Chama cha siasa chochote kupokea pesa toka wafadhili, marafiki, wahisani bila ridhaa ya msajili wa vyama vya siasa.
Tuna kushauri mzee Seif Hamad Sharif, baki njia kuu michepuko sio deal na faida yake ni kwa Zitto na familia yake.
Ikikupalia, kunywa juice ya ndimu.

Post Bottom Ad