
Habarini za leo Watanzania.
Nimeanza kuamini kamsemo haka ka waenga : ukikosa la mama, hata la mbuzi laweza saidia.
Inamaana mtoto mchanga akikosa maziwa ya mama yake ( labda mama kafariki), basi upewa maziwa ya mbuzi na mambo yanaendelea tu vizuri.
Sasa uyu Zitto Zuberi KABWE aliezoea kupiga pesa za mafisadi, kukomba mfuko wa jimbo, ...naona sasa kageuka wa bei poa ( bei ya Nyanya).
Hivi Zitto na baraza nzima la madiwani wake ni wakupewa Rushwa ya 3,000 USD ( Dola za kimarekani 3,000 sawa na shilingi za kitanzania Milioni 6 na laki 6)????
Zitto aliekua akinywa chai Serena hotel, chakula cha mchana Kempiski, chakula cha usiku seacliff na baada ya hapo anaenda kulala hotel ibis nchini Ubelgiji!!!???
Kweli Zitto kawa mzigo wa takataka usiokua na thamani.
Kwa pesa ndogo hizo 3,000 USD, yeye na madiwani wake wote walitoa tenda ya barabara za lami : Mtaa wa sim ( Mwanga kusini), mtaa wa regeza mwendo ( Mwanga Kaskazini) kwa kampuni feki ya MCHINA a.k.a MCHINA FEKI.
Tenda yenyewe ya Bilioni 19.
Kweli mambo yake yamekwana sana toka Serikali hii ya awam ya 5 izibe mirija yote ya uvujishwaji wa fedha za umma.
Zitto wa juzi, si Zitto wa leo,Kachanganyikiwa.
Nakumbuka mwaka 2016, ziliingia pesa tathlim Milioni 45 kwenye mfuko wa jimbo, aisee alitoa milioni 43 siku iyo iyo eti zimeingia kwenye mpango wa kutengeneza dawati ili kukidhi mahitaji ya shule zote kwenye jimbo lake la Kigoma mjini.
Kuja kuchunguza pesa zote hizo Milioni 43, zimeingizwa kwenye bank account ya kaka yake SALUM.
Sasa sijui kaka yake ana kampuni ya kutengeneza Dawati, au tenda ni kupeana kifamilia.
Jamaa kaishiwa mavumba sasa anapitia hadi rushwa za laki moja. hili wapambe wake wakina Boaz Chuma na wengineo wanalijua vyema sana.
Inakheraeeeehhh
CWU tiz.