Historia: Zijue vizuri siasa za Upinzani wa Tanzania na viongozi wake - Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

"Muda Unaongea"

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

23 Feb 2019

Historia: Zijue vizuri siasa za Upinzani wa Tanzania na viongozi wake

"Lissu anasema nimepewa magari mbili na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono.

Naamini Mkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini.

Nadhani alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman Tsh. 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa.
Nadhani alimwambia pia kuwa Mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe Tsh. 200m za kampeni ya Slaa.
Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe Tshs 100m za kampeni.

Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?

Nimefanya internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya mikataba.

Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda.

Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie ukweli wote. 

Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze.

Aeleze aliingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF.
Image result for ukawa tanzania
Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma iliyopo Club Bilicanas.

"They must know I am not a pushover. Chacha died, I won't."

Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili."

Post Bottom Ad