ACT HALI MBAYA, MIKUTANO YA KIDEMOKRASIA YAISHIA HEWA - Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

Yajayo Yanafurahisha | "Muda Unaongea"

"Muda Unaongea"

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

23 Feb 2019

ACT HALI MBAYA, MIKUTANO YA KIDEMOKRASIA YAISHIA HEWA

Mara ya mwisho chama cha ACT kufanya mkutano wa kidemokrasia ilikuwa mwaka 2017 jijini mwanza. Miaka miwili tuu baada ya awamu ya tano kuingia madarakani.
Mwaka 2018 mkutano wa kidemokrasia ulikuwa ufanyike jijini Mbeya ila kwa sababu za kifedha, chama kutokuwepo Mbeya na uongozi kitaifa kupwaya ikashindikana na wanapanga mwaka huu kuufanya Kigoma.
Wameamua warudi nyumbani kwa sababu ndio sehemu pekee wana uwezo wa kupata washiriki, gharama ndogo na ndio sehemu pekee wanahisi watafanya mkutano na kusikilizwa.
Image may contain: 3 people, people sitting
Ikumbukwe mikutano hii iliasisiwa baada tuu ya chama kuasisiwa na kupata usajili. Swali ni ilikuwaje waweze kipindi chama ni kipya hawana ruzuku na washindwe Leo chama kina ruzuku?
Ikumbukwe pia moja ya waasisi wa chama hichi ambaye jina lake ni namba sita kwa msajili aliongelea usajili wa chama hichi ulivyofanyika kimawenge.
ACT hali yake kiuchumi inatia huruma, hakuna asante Kikwete kama ilivyokuwa mwanzo, Zitto hana tena kiungo kilichofanya apige pesa za Ccm kuvuruga upinzani.

Post Bottom Ad