NYUMBU: Reli ya umeme itakwama Kwa sababu hatuna umeme Wa kutosha labda iwe na power bank.
SERIKALI: tunaimarisha shirika la umeme na kujenga mradi mkubwa Wa stieglers Gourge ili kuzalisha umeme Wa kutosha Kwa matumizi yetu.
NYUMBU : umeme tulio nao unatosha. Umeme Wa gesi, maji unatosha sana. Stieglers gourge utaharibu bio anuai ya selous.