Picha hizo zimepostiwa na Msemaji wa Serikali kupitia katika akaunti yake ya mtandao wa Twitter zikionyesha muenendo matengenezo ya uwanja mpya huku watu wengi wakionyeshw akuridhishwa na hatua ambayo hadi sasa ujenzi wa uwanja huo imefikia huku wakiipongeza Serikali ya awamu ya tano kwa ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya mawasiliano ikiwemo ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa muda wowote kuanzia sasa uwanja huo utazinduliwa tayari kwa kuanza kuhusdumia wasafiri kutoka mataifa mbalimbali duniani.









