
Swali: dereva Yuko wapi?
Jibu: Yuko Belgium
Swali: Kwa nini harudi kutoa ushirikiano katika upelelezi?
Jibu: mnashindwa nini kutumia interpol?
Swali: kwani mhalifu atumiwe Interpol?
Jibu: toka tuko Nairobi polisi hawakuja kutuhoji Kwa nini?
Swali: Kwa nini harudi kutoa ushirikiano katika upelelezi?
Jibu: mnashindwa nini kutumia interpol?
Swali: kwani mhalifu atumiwe Interpol?
Jibu: toka tuko Nairobi polisi hawakuja kutuhoji Kwa nini?
Tafakuri: wezi wanakuvunjia nyumba halafu wewe na wochimeni wako mnakimbia. Unadai mkahojiwe huko mlikokimbilia🤣😂😂! Ili iweje? Uliyeibiwa wewe uliyekimbia na mlinzi wako ni weye!. Polisi wahangaike ili? Mali iliyoibiwa si yako? Tuingie gharama kukufuata huko ulikokimbilia ili iweje? Wee utabaki huko siku ukitaka polisi ikusaidie utarudi. Ila polisi watakuuliza mbona mlikimbia? Na Kwa nini ulikuwa unasingizia watu wasiohusika? The return of Lissu will be full of drama😃🤣😂😄😅. Au kaamua kuwa mkimbizi?