
Unadhani hapa kuna msanii kutoka marekani mfano Drake, Beyonce, Tiger au Jay Z??ah aah...hapanaaa!. hawa ni wanaMOROGORO siku ya tarehe 15.06.2019 pale Jamhuri. Wameamua kwa pamoja na Umoja kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. J. P. MAGUFULI.
Wanachama waliopokelewa ni:
CHADEMA 12,547
ACT 508
CUF 3210
TLP 18.
JUMLA KUU 16,470.