Ukiangalia kwa makini waliovaa shati nyeupe wakatikati mwenye kofia ni mbunge wa MBEYA mjini Joseph mbilinyi,na picha ya nguo za jeshi ni mheshimiwa rais msataafu jakaya kikwete,na picha hiyo nyingine ni mheshimiwa rais john pombe magufuli enzi hizo za ujana wao picha hizi kwa hisani ya maktaba ya familia
23 Mei 2018
Picha inaongea, tafakari chukua hatua
Wasifu Wangu
Mwandishi huru, uhamishoni nchini Canada kwa masomo. Naipenda Tanzania.