Miaka ya 1990's
CCM_M/kiti-Mh.MKAPA
CHADEMA_M/kiti-MBOWE
.
Miaka ya 2005+
CCM_M/kiti-Mh.KIKWETE
CHADEMA_M/kiti-MBOWE
.
Miaka ya 2015+
CCM_M/kiti-Mh.MAGUFULI
CHADEMA_M/kiti-MBOWE
.
HISTORIA YA UONGOZI CHADEMA
1)Edwin Mtei-Baba mkwe wa MBOWE
2)Boby M Makani-Shemeji wa MTEI
3)Freeman A Mbowe-Mkwe wa MTEI
.
Utani katika mitandao ya kijamii wawaangukia,Nanukuu
"Sisi NYUMBU tumekubaliana kwamba MBOWE aendelee kuongoza mapambano"
Maandiko haya utayapata katika kitabu kipya cha MDUDE NYANGALI kinacho fahamika kwa jina THE BLACK DEMOCRACY