Zipo ishara zote kwamba Kama Mbowe angeshinda Uraisi Mwaka 2005 angebadili Katiba na angekuwa Raisi mpaka Leo...Mpaka Kesho na Chadema wangekubali kama wanavyosema Leo kwamba "Kama tuna Mwenyekiti Mzuri kwa nini tubadili?"
23 Mei 2018

Home
CHADEMA
recent
Siasa
Ishara ya uenyekiti wa Mbowe CHADEMA isiyo afya kwa ustawi wa demokrasia Tanzania
Ishara ya uenyekiti wa Mbowe CHADEMA isiyo afya kwa ustawi wa demokrasia Tanzania
Tags
# CHADEMA
# recent
# Siasa
Share This
About Jason Michael
Siasa
Wasifu Wangu
Mwandishi huru, uhamishoni nchini Canada kwa masomo. Naipenda Tanzania.